Sambaza

MALAIKA ANATAKA WATU WAPENDWE WAKIWA HAI

Fact! Sexy lady kunako Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’ amesema kuwa ni muhimu kumpenda mtu akiwa hai, lakini akifa ukasema unampenda, huko ni kumkosea. Akizungumza na Gazeti la Ijumaa, Malaika alisema amejifunza vingi mno kwenye maisha hivyo hakuna sababu ya kuwa na visasi wala vinyongo maana hapa duniani watu wanapita

tu.Napenda sana mtu aniambie ananipenda nikiwa ninamuona na mimi nimjibu, lakini siyo siku sipo duniani kila mmoja anajifanya ananipenda, hiyo siyo sawa, tuthaminiane  ukiwa na nguvu zetu,” alisema Malaika.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey