Sambaza

DJ KHALED AKINUKISHA OFISI ZA EPIC RECORDS

MUANDAAJI wa muziki marekani DJ Khaled amegombana na viongozi wa Epic Records inayosimamia kazi zake za muziki, baada ya kuachia Album yake ya ‘Father Of Asahd’.

Ieripotiwa kuwa DJ Khaled amechukizwa baada ya kushindwa kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billbod Hot 100.

Dj Khaled alionekana ndani ya jengo la ofisi za za Epic Records akiwagombeza viongozi hao akidai hawana uelewa wa promo za Album huku akililalamika sababu alitangaza kuwa hii ndio album yake kubwa zaidi kuliko zote.

Katika wiki ya kwanza album iyo ilishika nafasi ya pili katika chat za Billboard Hot 100 kwenye Top R&B/Hip-Hop Album.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey