Sambaza

MARIA CAREY AMBURUZA MAHAKAMANI MSAIDIZI WAKE

Maria Carey ana makalio ya bandia, amethibitisha aliyekuwa msaidizi wake Lianna Shakhnazarryan kwenye mgogoro wao wa kisheria unaoendelea.

Mwanamuziki Maria Carey alimburuza mahakamani Lianna kwa madai ya kumtishia kuvujisha picha zake ambazo zipo kiutata. Haikuwa upande mmoja, Lianna naye alifikisha mahakamani kile alichodai kuwa ni wizi wa fedha uliofanyika kwenye akaunti yake ya benki ambapo Carey alichukua pesa na kwenda kufanyia upasuaji wa makalio yaani Plastic Surgery.

Kwa mujibu wa Daily Mail, Lianna ameieleza mahakama kwamba Maria alichukua Card yake ya benki na kwenda kutoa pesa akitumia jina la (Stella Carey) na alichomoa kiasi cha $10,000 kwa upasuaji huo pia $4,800 kwa ajili ya kunenepesha matiti na $8,900 kwa ajili ya kutengeneza shingo yake na sehemu za Taya. 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey