Sambaza

List Mpya Kutoka Forbes, ya Wasanii wa Hip Hop Matajiri zaidi Duniani


Siku za hivi karibuni Jarida Maarufu Duniani la Forbes Lilimtaja Msanii Jay Z kuwa ndio Msanii mwenye utajiri mkubwa zaidi duniani. Akiwa na Utajiri wa Dollar za Marekani Zaidi ya Bilioni Moja (>1 Billion USD)

Wasanii wengine waliotajwa kwenye Top 5 ya wasanii wenye utajiri mkubwa zaidi duniani ni Dr. Dre, ambaye anashika nafasi ya pili akiwa na utajiri wa dollar za marekani zaidi ya Milioni 800. Msanii anayeshika nafasi ya tatu ni Sean Combs ( Diddy) ambaye ana utajiri usiopungua dollar za marekani Milioni 740.

Dr. Dre

Wasanii wengine waliotajwa na jarida hilo ni Kanye West, ambaye anashika nafasi ya nne huku akiwa na utajiri usiopungua dollar za marekani 240. Msanii Drake ndio anayyefunga List hiyo ya Top 5 akiwa na utajiri wa dollar za marekani zisizopungua Milioni 150.
Utajiri wa wasanii hawa unatokana na kazi zao za muziki na biashara mbalimbali wanazofanya.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey