Sambaza

WEMA SEPETU ASWEKWA NDANI HADI JUNI 24

MAHAKAMA  ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwamuru msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu,  kukaa mahabusu kwa siku saba hadi Jumatatu ijayo, Juni 24, wakati akisubiri uamuzi wa mahakama kumfutia dhamana baada ya kukiuka masharti aliyopewa mahakamani hapo.

Wema anakabiliwa na mashtaka ya kujipiga video ya ngono na kuisambaza katika mtandao wa kijamii wa Instagram.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey