Sambaza

Nicki Minaj Aja na ‘Megatron’

Msanii NICKI MINAJ Ametangaza Ujio wa Ngoma yake Mpya, Aliyoipa Jina la ‘Megatron’... Kupitia Kurasa zake Zake za Mitandao ya Kijamii, @nickiminaj Ameshea Picha na Video za Vipande vya Ngoma hiyo, Akiwa na Boyfriend ake, Kenneth Petty.

Pia Ametangaza kuwa siku ya uzinduzi wa Ngoma hiyo, Atahost Pia Uzinduzi wa Episode Mpya ya ‘Queen of Radio ” Nicki amekuwa kimya kwa muda mrefu kidogo, huku akiwa hajihusishi sana na Mitandao ya Kijamii, lakini Ameamua Kuvunja Ukimya huo na kukata kiu ya Mashabiki wa Muziki wake kwa Kuachia Kipande Kifupi cha Nyimbo yake (Teaser) Kama Ishara ya Ujio wa Ngoma yake Mpya ya ‘MEGATRON’

June 12, Nicki Minaj Alipost Kupitia Akaunti yake ya twitter na Kuandika ‘Megatron’ na Kuamua kubadilisha Profile Pictures za Akaunt zake za Mitandao ya Kijamii..  “Some call me Nicki, But some call me Megatron”, Huu ni mstari Uliopo kwenye Ngoma Aliyoshirikiana na Future Inayokwenda kwa Jina la ‘Transformer’ ikiwa inaaminika kuwa Project hiyo ya Transformer ndio imeasisi jina la Project yake Mpya ya ‘Megatron’

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey