Sambaza

Blac Chyna Aicharukia Familia Ya Rob Kardashian Kisa Mtoto

MWANAMITINDO maarufu Blac Chyna na Familia ya Kardashian,bado ugomvi wao aujakwishakwisha baada ya Blac Chyna kuionya familia hiyo kutotumia jina la mtoto wake Dream katika kipindi chao cha runginga cha Keeping Up With The Kardashians.

Blac Chyna alipata mtoto huyo akiwa na mahusiano na Rob Kardashian, lakini baada ya kuachana Blac Chyne amekuwa na mgogoro na familia ya Rob kwa madai kijana wao hatoe huduma kwa mtoto huyo.

Hata hivyo Kim, Khloe, Kylie wamekuwa wakimzungumzia mtoto huyo wa kaka yao kwa namna tofauti, lakini Blac alianza kumuona Rob kuwa, aiambie familia yake iachane na mpango wa kumzungumzia mtoto wake.

Inasemekana kuwa Blac na yeye anataka kuwa na kipindi chake cha runinga ambacho kitakuwa kinajulikana kwa jina la The Real Blac Chyna, hivyo hayupo tayari kuona mtoto wake akizungumziwa kwenye vipindi vingine.

#Vipindi vingine vinafanya vizuri kutokana na kutaja majina ya watu, Keeping Up With The Kardashians sitaki kuona wakimzungumzia mwanangu,” alisema Blac.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey