Sambaza

Madonna Ataka Kuzungumza na Papa Kuhusu Wanawake

Msanii wa Kike Aliyejizolea Umaarufu Mkubwa Miaka ya Nyuma, Madonna Louise Ciccone (60),  Afunguka kuwa anahitaji Kuonana na Papa Francis Ili Kuzungumza Kuhusu Haki za Wanawake, na Kujadili kuhusu Jinsi gani Yesu angelichukulia swala zima la haki za wanawake hivi leo.. “Let’s talk About Jesus’ point of view about Women, Let’s talk about it…” Amesema

Mwanamama huyo mwenye Watoto watano, Lourdes (22), Rocco (18), Mercy (13)  pamoja na Mapacha Stelle na Estere (6) Alisema “What do you really think he thought of women? And don’t you think Jesus would agree that a woman has the right to choose what to do with her body?”

Madonna ambaye alikosolewa sana na Viongozi wa Kikatoliki kwa kukosoa sana Dini ya Kikristo baada ya kuachia Video yake yenye Utata hapo mwaka 1989 ‘Like a Prayer’ ambayo ilikuwa na Baadhi ya Scenes zenye kukosoa Dini ya Ukristo.

Madonna amesema hayo alipofanya Interview na Andrew Denton, na kuongeza kuwa anaamini kuwa Papa atamwalika siku moja na watazungumza kuhusu maswala hayo ya haki za wanawake na Yesu.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey