Sambaza

No Guidance Ya Chris Brown Na Drake Yashika Nafasi Ya 9 Billboard Hot 100

KOLABO ya Chris Brown na Drake inaendelea kufanya vizuri inashikilia nafasi ya 9 katika TOP10 ya billboard hot 100,Ni wimbo wa ‘No Guidance’ kutoka katika album ya Chris Brown ‘Indigo’. Huu ni wimbo wa Chris Brown wa 15 kuingia katika top 10 ya billboard kwa Drake ni wa 34.

November 2018 beef lao lilizikwa rasmi baada ya Drake kumpa Chris Brown zawadi ya jacket la OVO na Chris Brown kumtumia Drake nguo za chapa yake ya Black Pyramid

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey