Sambaza

Album Ya Dj Khaled Yazidi Kufanya Vizuri Kimauzo


MUANDAAJI wa muziki Marekani, DJ Khaled, Album yake ya Father of Asahd imefanikiwa kuuza zaidi ya kopi laki tano na kupewa kiwango cha GOLD ikiwa ina wiki nne tangu iingie sokoni.
DJ Khaled amewaahidi mashabiki zake kuwaletea jambo jipa baada ya album ya Father of Asahd kufanya vizuri kwa kuuza kopi zaidi ya milioni moja.


Ikumbukwe kuwa DJ Khaled wiki moja nyuma aligombana na viongozi wa Epic Records baada ya Album yake kushindwa kufanya vizuri katika chati za Billboard Hot 200.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey