Sambaza

Familia Ya Nipsey Hussle Yadai Haki Malezi Ya Mtoto


FAMILIA ya marehemu rapa Nipsey Hussle inaendelea kudai haki za malezi ya mtoto wake wa kike Emani, 10, wakidai mama yake Tanisha Foster hana uwezo wa kumlea vizuri.

Wakili wa familia ya Nipsey wataonyesha malezi mabovu ya watoto wengine wawili wa Tanisha Foster, mmoja wa kike yuko jela ya watoto na mama yake amemtelekeza huko bila kwenda kumchukua, wa pili wa kiume hana makazi maalum na ameacha shule.

Foster anamtaka Emani ili kupata pesa za matuzo kutoka kwa familia hio; kwa sasa Emani anaishi na dada yake Nipsey aitwaye Samantha.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey