Sambaza

Uchambuzi wa Magazeti na 255 Front Page Tarehe 20/6/2019

Tazama Uchambuzi wa Magazeti Leo Tarehe 20/6/2019 Kutoka #255FRONTPAGE ya +255Global Radio. Pia tazama Mjadala Kuhusu ‘Ongezeko la Mauaji ya Wanafunzi wa Vyuo Tanzania’ Ikiwa ni Siku chache zimepita toka Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kampala University Campus ya Dar  Anifa Mgaya Kuuawa kwa Kuchomwa Kisu. Pia Unaweza Kuendelea Kuchangia Mjadala Huu kwa kuweka Maoni yako kwenye Comment Box hapa Chini, “Ongezeko la matukio ya mauaji kwa wanafunzi wa vyuo una maoni gani kwa serikali ?”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey