50 Cent Kuingia Hollywood Walk of Fame 2020, Kuungana na Diddy
50 Cent ni miongoni mwa wasanii watakao pewa heshma ya Hollywood Walk of Fame ifikapo 2020. Taarifa toka kwenye vyanzo vya Hollywood walitangaza orodha ya celebrity watakao shine mwakani
Hii inatokana na mchango wa , 50 kwenye tasnia ya mziki pamoja na filamu bila kusahau uwepo wake kwenye television. Nguli huyo alijipatia mafanikio makubwa kwenye kazi zake kama Power, miongoni mwa baadhi ya wasanii walioiingizwa kwenye Hollywood walk of fame ni Queen Latifah ,Diddy ,Pharrell Williams ,Pitbull pamoja na LL Cool J.
Kupata Stories na Kusikiliza Exclusive Enterrviews na Wasanii Mbalimbali, Pakua App ya 255 Global Radio kwa Kubofya Hapa
Toa Maoni Yako Hapa