Sambaza

Cardi B Kutumia Mil 920 Kwenye Birthday ya Mwanaye Kulture

Rapper wa kike mwenye vituko Card B ameibuka na kali baada ya kupata mtoto wa kwanza hivi majuzi kupitia ukurasa wake wa instagram alionekana kupost taarifa kuhusiana na ujio wa birthday ya binti yake atakapotimiza mwaka moja rapper huyo amepanga kumgharamikia mtoto wake kwa hali na mali baada ya kuweka kiwango cha fedha hadharani ambacho aliandika ni $400,000/= kwa hela ya kitanzania inakuja
920,000,000/=

Kupata Stories na Kusikiliza Exclusive Enterrviews na Wasanii Mbalimbali, Pakua App ya 255 Global Radio kwa Kubofya Hapa

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey