Sambaza

Dada Wa Shigongo Azikwa Sengerema Mwanza Leo

MWILI wa dada wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, marehemu Vaileth James Bukumbi, umezikwa  leo Ijumaa, Juni 21, 2019, nyumbani kwao katika Kijiji cha Bupandwamhela, Buchosa – Sengerema mkoani Mwanza.

Mazishi hayo yamehudhuliwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Buchosa, Mkurugenzi Kamanga Ferry Ltd, Mkuu wa Polisi Wilaya ya Sengerema, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, na Mkuu wa wilaya ya Magu, Dkt Philemon Sengati

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey