Sambaza

Kazi aliyoacha rapper Mac Miller Imezua Gumzo Baada Kutoka

Kazi aliyoacha rapper Mac Miller ambayo ni colabo na producer 88-Keys akiwemo Sia imezua gumzo na kudai kuwa kazi hiyo inaonyesha kuumizwa kimahusiano hapo awali.

88-Keys;  hii ni solo record yake kwa kipindi cha miaka 8 ambayo alimshirikisha , Mac, kama unakumbuka Mac aliwahi kuwa kwenye mahusiano na pop star Ariana Grande toka mwaka 2016 hadi kufikia May mwaka jana, hadi mauti yanamkuta. Kumbukumbu toka maktaba zinasema kuwa msanii huyo alifariki kwa kuji overdose na drugs akiwa na umri wa miaka 26 kifo chake kilitokea September. 88 keys ambaye jina lake halisi anajulikana kwa jina la Charles Misodi Njapa, kupitia mahojiano na vyombo vya habari alidai kwamba yeye na Mac walikuja na wazo la kuhusu mahusiano wakati wa furaha na uzuni kwenye mahusiano yao yaliopita Na ndipo baadae kazi hii akashirikishwa Sia, yeye akaongeza vyonjo vya mashairi kulingana na uzoefu alionao kwenye kazi hii..

Kupata Stories na Kusikiliza Exclusive Enterrviews na Wasanii Mbalimbali, Pakua App ya 255 Global Radio kwa Kubofya Hapa

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey