Sambaza

Priyanka Chopra Awekwa Makumbusho ya Madame Tussaud’s London

Picha (ya chini ) ni sanamu hiyo mpya ya Priyanka Chopra iliyozinduliwa wiki hii Kwenye makumbusho maarufu duniani ya Madame Tussaud’s huko London, Uingereza. Wabunifu wa Sanamu hiyo wamepongezwa na mashabiki Kwa kufanana na mrembo huyo, Anayeng’ara kwenye tasnia ya Urembo na Filamu. Sanamu hiyo imetengenezwa Kwa Nta huku muonekano wake ukiwa ni ule aliouvaa katika tuzo za Golden Globes 2017

Hii Ndio Sanamu ya Priyanka Iliyowekwa Makumbusho ya Madame Tussaud’s London

Priyanka Chopra, ambaye ni Raia wa India alijipatia Umaarufu Baada ya Kutwaa taji la Miss World Mwaka 2000, na baada ya hapo Kuingia Kwenye Tasnia ya Burudani kama nwanamuziki na Muigizaji. Baadhi ya Filamu zilizompatia Umaarufu ni Quantico Ambayo Alicheza kama Alex Parrish na Filamu nyingine ni Baywatch Ambayo aliigiza kama Victoria Leeds.

Katika tasnia ya muziki, Priyanka Chopra ameshatoa nyimbo kadhaa ambazo zimefanya vizuri sana duniani, Baadhi ya nyimbo hizo ni “Ullathai Killathe”  “In My City” ambao umempatia tuzo kadhaa kama vile People’s Choice Awards India.  Mwezi December 2012, kupitia winbo wa In My City, alifanikiwa kuingia katika nominations za tuzo zifuatazo Best Female Artist, Best Song and Best Video (for “In My City”) at the World Music Awards.

Kupata Stories na Kusikiliza Exclusive Enterrviews na Wasanii Mbalimbali, Pakua App ya 255 Global Radio kwa Kubofya Hapa

 

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey