Sambaza

Diamond Platnumz Aja na Video Mpya ‘Kanyaga’, Yavunja Rekodi

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ leo Juni 25, 2019 ameachia video yake ya ‘Kanyaga’ mpaka tunaiweka katika mtandao wetu huu wa Global Publishers ilikuwa imeshatazamwa na watu zaidi ya 1,000,000/- Ndani ya Masaa 13 tu toka Iwekwe Kwenye Mtandao wa Youtube.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey