Sambaza

Wabunge Wapiga Kura, Waipitisha Bajeti Kuu Ya Serikali 2019/2010 – Video

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 25, wamepiga kura ya maoni na kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20, Bajeti hiyo ya Tsh Trilioni 33.11 iliwasilishwa wiki chache zilizopita na Waziri wa Fedha, Dkt Philip Mpango.

Wabunge waliokuwepo wakati na kupiga kura bi 380, wabunge ambao hawakuwepo wakati wa kupiga kura ni 12, wabunge ambao hawakuamua ni 0, wabunge 83 ambao ni sawa na asilimia 21.8 wamesema HAPANA, 12 hawakuhudhura, waliopiga kura ya NDIYO ni wabunge 297 ambao ni sawa na 78.2.

    TAZAMA VIDEO HII

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey