Sambaza

Bifu La Nicki Minaj Na Miley Cyrus Lazidi Kupamba Moto


RAPA Nick Minaj pamoja na Miley Cyrus bado bifu lao linaendelea hii ni baada ya kudaiwa kuwa Miley alimchana Nicki kwenye ngoma yake mpya ya ‘Cattiude’ nakusema kuwa anampenda Nicki lakini anasikiliza nyimbo za Cardi B.

Kupitia mahojiano aliyoyafanya Nicki Minaj kwenye episode mpya ya kipindi chake cha Queen Radio Nick amefunguka na kudai kuwa aliwahi kumkuta Miley Cyrus akifanya mapenzi ndani ya studio na mtayarishaji wa muziki Mike Will Made-It na kusisitiza kuwa Miley amekua akifanya hivyo mara kadhaa ili atoke kimuziki.

Bifu kati ya Nicki Minaj na Miley Cyrus lilianza kuonekana mwaka 2015 baada ya Miley kumkosoa Nicki kupitia gazeti la New York Times baada ya kuwa na malalamiko juu ya tuzo za VMAs kumnyima tuzo ya video bora ya mwaka kwenye ngoma yake ya Anaconda.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey