Sambaza

Cardi B Apandishwa Kizimbani, Akana Mashtaka

Image result for cardi b

MWANAMUZIKI wa marekani Cardi B amekana mashtaka yote mawili yanayomkabili dhidi yake kwenye kesi ya kuwapiga na kuwafanyia fujo wasichana wawili usiku kwenye kumbi za starehe  mwezi August 2018.

Akiwa amepandishwa kizimbani kwenye mahakama kuu ya Queens, “Not guilty sir.” Cardi B alimuambia Hakimu Joseph Zayas kuwa hana hatia.

Tukio hilo lilitokea 2018 katika ukumbi wa (Angels Strip Club) ambapo Cardi anadaiwa kuwafanyia fujo wanawake hao (Jade na Baddie Gi) kwa kurusha viti na kupasua chupa akiamini kwamba Jade aliwahi kutoka kimapenzi na mumewe, Rapper Offset.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey