Sambaza

Nahreel Na Aika  Wamebahatika kupata Mtoto Wapili Wa kiume

WANAMUZIKI  Nahreel pamoja na Aika  wamebahatika kupata mtoto wapili wa kiume ambapo good news zimeletwa na Aika kupitia ukurasa wake wa instagram.

Tayari jinsia pamoja na jina la mtoto wao wa pili limewekwa hadharani, fahamu kuwa mtoto huyo wa kiume anaitwa Jamaika ambapo mtoto wao wa kwanza anaitwa Gold  alizaliwa Jumamosi ya December 9, 2017.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey