Sambaza

Nisha Kipaji Hakizeeki

LICHA ya kupotea kwamuda mrefu kwenye fani, msanii wa filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka kuwa kipaji alichonacho cha kuigiza hakiwezi kuzeeka.  Akichonga na Amani, Nisha alisema licha ya kuwa amejikita kwenye biashara na kuiweka sanaa pembeni kwa muda mrefu,  lakini anajua kipaji alichonacho hakiwezi kupotea au kuzeeka kwani ni jambo ambalo lipo kwenye damu.

“Sijaacha sanaa na siwezi kuacha maana ni kipaji nilichozaliwa nacho hivyo mashabiki wangu wajue kuwa nimewaacha kwa muda tu kwa ajili ya kutafuta maisha, lakini siku ikifika nitarejea kwenye kazi yangu hiyo ya uigizaji kama kawaida maana kipaji hakizeeki,” alisema Nisha

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey