Sambaza

Ujio Mpya wa Chris Brown, Atoka na Album yake Mpya ‘Indigo’

Mwanamuziki Chris Brown kutoka nchini Marekani ameachia rasmi albamu yake mpya ya #Indigo leo Juni 28 na sasa albamu hiyo inapatikana kwenye platforms mbalimbali za muziki duniani.

Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii huyo ameandika ujumbe usemao Albamu inapatikana kila mahali kwenye platforms mbalimbali za muziki huku akitoa shukrani kwa wote waliofanikisha utengenezaji wa albamu hiyo pia amewashukuru mashabiki wake wote kwa sapoti na upendo wao kwake.

Kama unakumbuka Ukurasa wako huu pendwa wa Godson Live Magazine ulikujuza juu ya ujio wa albamu hii miezi kadhaa iliyopita na sasa yametimia. Ndani ya albamu hiyo kuna ngoma kali ambapo wasanii mbalimbali wamesikika wakiwemo Justin Bieber, Tyga, Lil Wayne, Drake, Nicki Minaj n.k

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey