Sambaza

Kampuni ya Apple yapoteza Trillioni 21 ndani ya Saa Moja kwenye Soko la Hisa

Kampuni ya Apple imepoteza Tsh 21 Trilioni ($9bn) katika soko la hisa, saa moja baada ya Jony Ive aliyehusika katika ubunifu wa takribani bidhaa zote za Apple, kutangaza kuondoka ndani ya kampuni hiyo.

Sir Jonathan Paul “Jony” Ive, ana miaka 27 ndani ya kampuni hiyo na ni Mwingereza, alijiunga na Apple mwaka 1992. Baada ya miaka kumi ya huduma ya kuunda bidhaa za Apple Ive alipandishwa cheo kuwa Makamu wa Rais Mkuu wa kubuni bidhaa za Apple Ive ameunda iPod, iPhone, iPad, MacBook, na sehemu za interface ya mtumiaji wa Apple, iOS.

Ive ametangaza kufungua kampuni yake ya ubunifu, ambayo Apple itakuwa mteja wake.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey