Sambaza

Mauaji ya Watanzania 9 Msumbiji, IGP Sirro Azungumzia Hatua

Raia Tisa wa Tanzania pamoja na raia wawili wa Msumbiji wameuawa na watu wasiojulikana huku watanzania wengine sita wakijeruhiwa vibaya katika kijiji cha Mtole kilichopo upande wa Msumbiji mpakani mwa Tanzania na Msumbiji

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchni, IGP Saimoni Siro amefika mkoani Mtwara kufuatilia tukio hilo lililotokea Juni 26, 2019. Hata hivyo, IGP Siro amesema msako unaanza mara moja kwa kushirikiana na Serikali ya Msumbiji ili kuwakamata watu waliohusika na mauaji hayo

Wakizungumzia tukio hilo majeruhi waliolazwa katika hospitali ya rufaa ya Ligula wamesema kuwa watu hao waliofanya mauaji walikuwa saba na waliwalaghai wananchi kwa kuitisha mkutano na kuanza kuwashambulia

Source : JamiiForums

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey