Sambaza

Sherehe ya Send-Off ya Cute Mena, Mc Pilipili Atikisa Ukumbini

MSANII maarufu wa vichekesho Tanzania, Emmanuel Mathias ‘MC Pilipili’ ametikisa kwenye Send-Off ya mchumba wake, Neema Max ‘Qute Mena’ iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbia wa Mbezi Garden Hall jijini Dar es Salaam.

Sherehe hiyo iliyotanguliwa kwa post za mapichapicha kibao kwenye mtandao wa Instagram kwa wiki nzima, imehudhuriwa na mastaa kibao pamoja na marafiki wa MC Pilipili kutoka nje ya Tanzania.

Harusi ya wawili hao ambayo imepewa jina la Harusi ya Taifa ama Royal Pilipili Wedding inatarajiwa kufanyika Jumapili hii, Juni 30, 2019 kuanzia majira ya saa 10:00 jioni.

Kama kawaida yake, MC pilipili huwa haishiwi vituko na ndicho alikuwa akikifanya usiku wa jana kwenye Send-Off ya baby wake.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey