Sambaza

Amber Lulu : Kila Niliyewahi Kuwa Naye Kwenye Mahusiano Alinicheat

Mwimbaji wa ngoma ya Jini Kisirani Amber Lulu, amefunguka kuwa wanaume wote aliokuwa nao  katika mahusiano yake walimsaliti.

Amber Lulu ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya “Vunga” aliyomshirikisha producer T-touch, amesema hayo leo.

“Kila mtu kaumizwa ila kwa sasa mapenzi hayana nafasi kama kazi yangu, kazi yangu ina nafasi kubwa kuliko haya mapenzi, mtu kukusaliti ndio kunaumiza kuliko kitu chochote, kila mtu niliyekua naye ameshawahi kunisaliti”

Amber lulu amekuwa na mahusiano na rapa Young dee, Barnaba classic, Aslay, Rami gallis na pia aliwahi kuwa na mahusiano na msanii Prezzo kutokea nchini Kenya , ambaye waliachana Julai 2018. Kwasasa kuna fununu kuwa anatoka na Nuh Mziwanda.

Source : EATV

Download App ya +255 Global Radio Kusikiliza Vipindi Vyetu LIVE, Exclusive Interviews, Uchambuzi na Burudani Mbalimbali. Bofya HAPA

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey