Sambaza

Mchungaji Afunga Kanisa kwa Tuhuma za Kumbaka Mke wa Msanii

NIGERIA: Mchungaji wa kanisa la Commonwealth Of Zion Assembly, Biodun Fatoyinbo amesitisha kuendesha shughuli za kiroho katika kanisa lake, kufuatia tuhuma za kumbaka Busola Dakolo, mke wa mwanamuziki Timi Dakolo. Busola amedai mchungaji huyo alimbaka mara mbili kabla hajatimiza umri wa miaka 18.

 3,149 total views,  3 views today

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey