Sambaza

Chris Brown Kupata Mtoto wa Pili Soon na Mwanamitindo Ammika Harris

MTANDAO wa TMZ umeripoti kuwa mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya RnB, Chris Brown anatarajia kupata mtoto wa pili na aliyekuwa mpenzi wake mwanamitindo Ammika Harris ambaye aliripotiwa kuwa naye kwenye mahusiano miezi kadhaa iliyopita.

Inasemekan kuwa mpenzi wa sasa wa Chris Brown ambaye ni Indyamarie ameachana na staa huyo baada ya kupata taarifa kuwa Chris amempa ujauzito mpenzi wake wa zamani Ammika huku ikidaiwa kuwa Ammika alionekana mara ya mwisho akiwa na Chris ni Januari, mwaka huu nchini Ufaransa.

Chris kwa sasa ana mtoto moja  wa kike ambaye ni Royalty ambapo alizaliwa May 27, 2014 na mwanadada Nia Guzman Raia wa Brazil.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey