Sambaza

Miss Universe, Lilian Loth Aeleza Kuhusu Maisha yake na Mafanikio Yake

Miss Universe 2017/17 akiwa katika Pozi ndani ya +255 Global Radio
Miss Universe 2017/17 akiwa katika Pozi ndani ya +255 Global Radio

Lilian Loth, Mshindi wa Pili Miss Universe Africa 2016/17  alitembelea Studio za +255 Global Radio kufanya Exclusive Interview na Kipindi cha Bongo 255. Katika Mahojiano hayo amezungumzia Mambo mengi kuhusu safari yake ya Urembo aliyopitia mpaka kufanikiwa Kuwa Mshindi wa Pili wa Miss Universe.

.. Akisaini Kitabu cha Wageni

Lilian ambaye ni Msomi wa Chuo Kikuu cha Kampala International University, hivi sasa anajishughulisha na Maswala ya Uanamitindo (Modelling), na  ameeleza kuvutiwa sana na Mwanamitindo Millen Magese ambaye ni Mtanzania anayeishi na Kufanya Kazi zake Nchini Marekani.

Akizungumzia Kuhusu wasanii wa bongofleva, Lilian amesema kuwa anampenda sana Diamond Platnumz na Vanessa Mdee.

Pakua App ya +255 Global Radio Ili Kusikiliza Vipindi Vyetu Live, Exclusive Interviews, Burudani ya Muziki Pamoja na Uchambuzi wa Matukio Mbalimbali. BOFYA HAPA KUINSTALL APP

Tazama Interview Nzima Hapa chini

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey