Sambaza

Pam D afunguka Kuhusu BIFU na Mesen Selekta, Atambulisha Video

Msanii wa Kike  anayefanya Vizuri kwenye tasnia Bongofleva, Pam D Leo amefanya Exclusive Interview ndaani ya Kipindi cha Bongo255 cha +255 Global Radio. Pam D aliambatana na Msanii mwenzie Foby ambaye wameshirikiana katika wimbo wao mpya waliokuja Kuutambulisha Unaoitwa ‘Kizungu zungu’. 

Akizungumzia Kuhusu tetesi kuwa Kagombana na Producer aliyemtoa hapo mwanzo kabisa, Mesen Seelekta, Pam D amesema kuwa tetesi hizo sio kweli, Hajagombana na Mesen ila ameamua Kufanya kazi kwa producers wengine ili kuleta utofauti katika Kazi zake. “Siwezi Kugombana na Mesen, Mesen ni ndugu yangu kabisa” Aliongeza Pam D

Pia amewashukuru mashabiki wake kwa kumpa support  kubwa na kuwaomba waendelee kumpa suppport katika kazi zake mpya.

Pakua App ya +255 Global Radio ili Kusikiliza Vipindi vyetu, Bofya HAPA KUINSTALL APP 

Tazama video yake Mpya, Kizungu Zungu 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey