Sambaza

Bow Wow Afunguliwa Mashtaka Na Mpenzi Wake Wa Zamani

Image result for bow wow

RAPA Bow Wow amemfunguliwa mashtaka na mpenzi wake wa zamani Kiyomi Leslie kwa kosa la kumpiga wakati akiwa mjamzito

kiyomi Leslie amefungua mashtaka hayo  baada ya kupost malalamiko katika mtandao wa Twitter juu ya kunyanyaswa kimwili kwa kupigwa na Bow wow huku akiwa na kiumbe tumboni.

_”Alinipiga wakati nina ujauzito, alinipiga ngumi za tumboni na mwili mzima, nilimpoteza mwanangu”

Wawili hao walianza mahusiano mwaka 2017 na kuachana Februari 2019 baada ya kupigana.

Rapa Bow wow ameshakuwa na mahusiano na Ciara, Keyshia Cole, Erica Mena na Keyomi Leslie na wote aliachana nao kutokana na vurugu zake.

Pakua App ya +255 Global Radio ili Kusikiliza Vipindi vyetuBofya HAPA KUINSTALL APP 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey