Sambaza

Justine Bierber Ashtakiwa Kwa Kosa La Kumnyanyasa mnenguaje wake wa kike

Image result for justin bieber

MWANAMUZKI wa miondoko ya Pop Justine Bierber yupo kwenye tuhuma nzito za kumnyanyasa mnenguaji wake wa kike Emma Portner , kupitia insta story ya mnenguaji uyo aliweka ujumbe wenye tuhuma nzito za Justine Bierber pamoja na kutomlipa mshahara wake.

 

Image result for Emma PortnerEmma Portner ameshiriki kucheza kwenye Video zote za album ya ‘Purpose’ pamoja na ziara yake ‘Purpose Tour’ lakini ilifika kipindi alikosa hadi pesa ya kula kutokana na Justine Bierber kutomlipa pesa yake inavyostshili.

Justine Bierber anaibagua jamaii inayoshiriki mapenzi ya jinsia moja  huenda hii ikawa sababu ya Justine Bierber kutomlipa Emma Portner ambaye anashiriki mapenzi ya jinsia moja (Lesbian) .

–                        
“Huwa unaenda kwenye makanisa ambayo hayaungi mkono jamii ya watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja (LGBTQ) lakini kwenye kampuni yako umeajiri ‘Lesbian’ tena anafanya video pamoja na show zako, Unajisikiaje? Halafu unamlipa kiasi kidogo tu cha pesa?” aliandika Emma Portner.

Alimaliza ujumbe wake huo mzito kwa kumtaja na Chris Brown kwamba wanapaswa kuwajibishwa kwa uonevu dhidi ya wanawake.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey