Sambaza

RAPA Young Thug, ametangaza kuwania urais wa Marekani 2024

RAPA nchini Marekani, Young Thug, ametangaza kuwania urais wa Marekani katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utakaofanyika 2024 kwa madai anataka kumpiku rais wa sasa wa taifa hilo, Donald Trump.

Kupitia mtandao wake wa Twitter, Thug ameshea ujumbe huo huku akimtaja mshkaji wake wa karibu, Gunna, kuwa ndiye atakayekuwa makamu wa rais baada ya yeye kushinda.

Kwa mtazamo wako unahisi Thug anaweza kuongoza taifa hilo kubwa duniani? Drop comment yako.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey