Sambaza

WhatsApp Wamekuja Na Toleo Jipya Kushare Status Kwenye Mitandao Mimgine

MTANDAO wa WhatsApp umefanikiwa kufanya majaribio ya toleo lake jipya ambalo unaweza kushare status kwenye mitandao ya kijamii mingine.

Kwenye toleo hili jipya la WhatsApp utakuwa na uwezo wa kushare status yako kwenye mitandao kama Instagram, Facebook, Google Photos, Messenger na mingine mengi.

Utakapoweka “status” chini ya status utakutana na neno “share” ambapo hapo itakusaidia ku-share kilichopo. Kwasasa toleo hili limeonekana kwa baadhi ya watumiaji wa WhatsApp ambao wanatumia BETA version, ila soon inatarajiwa kuachiwa kwa watumiaji wote.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey