Sambaza

Exclusive: AT Asimulia Bifu La Diamond Na Kiba Lilivyoanza! – Video

Katika kipindi cha KATA MBUGA Cha Global Radio, Mwanamuziki wa mduara kutoka visiwani Zanzibar, AT, amepiga stori na kusimulia mikakati yake ya muziki wa mduara ambao miaka ya nyumba alitikisa sana na hakuwa na mpinzani.

AT ameelezea chanzo cha bifu la wanamuziki Diamond na Alikiba, ambapo amekaririwa mara nyingi akisema kuwa yeye ndiye anayejua chanzo cha wawili hao kutokuwa sawa.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey