Rapa A$ap Rocky Azidi Kusota Rumande Baada Ya Kukosa Dhamana
RAPA kutoka marekani A$AP Rocky anaendelea kusota rumande baada ya mahakama kuu nchini Sweden kutupilia mbali ombi lake la dhamna jana.
Mtandao wa Daily Mail umeripoti kuwa mahakama kuu nchini Sweden imeamua kwamba rapa A$AP Rocky ataendelea kushikiliwa na polisi kwa wiki mbili huku upelelezi ukiendelea kuhusu tukio la kumpiga shabiki june 3o mwaha huu.
Toa Maoni Yako Hapa