Sambaza

Tanasha Awajibu Wanaoshinikiza Aolewe na Diamond

Mtangazaji na Msanii wa kike kutoka Kenya, Tanasha Donna ameamua kuvunja ukimya na kuwajibu watu ambao wamekuwa wakimsema mitandaoni kuhusu kutovishwa pete na Mchumba ake Diamond Platnumz. Katika Sherehe ya 707 iliyofanyika Mlimani City tarehe 7 July, watu wengi walitarajia kuwa Diamond atamvisha pete uchumba Tanasha, kitu ambacho hakikufanyika na kupelekea mrembo huyo kuandamwa kwa maneno na baadhi ya followers wake katika mitandao ya kijamii.

Baadhi ya comment zilimtaka Tanasha kuangalia mfano kwa wapenzi wa Diamond waliopita, huku wakimuonya kuwa asipofunga Ndoa na Diamond ataishia kuwa kama Zarithebosslady, ambaye amezaa na Diamond watoto wawili na mahusiano yao yakakoma kwa kutupiana vijembe Kwenye vyombo vya habari.

Maoni hayo ya followers wake yamemkera Tanasha na kuamua kuwajibu kupitia akaunti yake ya Instagram. Tanasha ameandika “

“Marriage is not what keeps a man around!”  akaendelea kuwa kurepost status ya Chikikuruka
akisisitiza kuwa muda sahihi kwa kuoana ukifika wataoana na sio kwa sababu watu wanataka.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey