Sambaza

Video Mpya: Christian Bella FT AY , Mwama Fa – Pete

MSANII wa Bongo Fleva, Christian Bella baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa ‘Boss’ akimshirikisha mwanamitindo Hamisa Mobetto, sasa ameamua kuachia video ya wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘PETE’ akishirikiana na wakali wawili kutoka hapahapa TZ AY pamoja Mwana FA ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey