Sambaza

Video Mpya: Young Lunya Na Country Boy – Tikisa

HAPA wamekutana wakali wawili wa Rap Young Lunya kutoka kundi la OMG na Country Boy ndani ya dakika 3 na sekunde 35 kwenye mdundo uliotengenezwa na mtaarishaji wa muziki Ammy kutoka studio za Switch Records wametulea nyimbo mpya ‘Tikisa’ video ikasimamiwa vizuri na Director Joowzey ingia.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey