Sambaza

Wakenya Wamchagulia Diamond Jina la Mtoto wake na Tanasha

Kama walivyotangaza siku ya 707, Mlimani City. Diamond Platnumz na Tanasha Donna wanatarajia kupata mtoto miezi miwili ijayo. Katika sherehe hiyo ya kuzaliwa kwa Tanasha pamoja na Mama yake Diamond, waliyoiitwa 707 Gatsby Party, Diamond aliuthibitishia Ulimwengu kuwa mchumba ake Tanasha ana Mimba ya Miezi 7 sasa.

Kitendo hicho kiliamsha mijadala mbalimbali katika Mitandao ya kijamii, lakini kubwa zaidi ambalo limewavutia wengi ni pale Diamond na Tanasha walipotoa ombi kwa watu wapendekeze jina la mtoto wao. Baada ya kauli hiyo kutoka kwa Diamond, Wakenya hawakubaki nyuma kupendekeza Majina ya Mtoto huku watu maarufu kama Governor wa Nairobi, Mike Sonko naye akiwa mmoja wa watu waliopendekeza jina. Mike Sonko Aliandika kupitia kwenye post ya mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi ambaye aliweka post hii

Mbali na Watu hao maarufu waliopost kuhusu Mtoto wa Diamond, Wakenya wengine pia hawakuwa nyuma kupendekeza majina. Hizi ni baadhi ya comment Zao

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey