Rapa 6ix9ine Ameanza Kufanya Kazi Rasmi Na Wakili Wa Jay Z
MWANAMUZIKI rapa wa Marekani 6ix9ine ameanza kufanya kazi rasmi na wakili wa Jay Z , Alex Spiro ili aweze kumsimamia katika kesi yake ya kujihusisha na kundi la uhalifu na mauaji la ‘Nine Gangsta Bloods’.
6ix9ine ameamua kufanya kazi na wakili Alex Spiro kwasababu ya historia yake ya kuwasaidia watu maarufu kama Jay Z, Bobby Shmurda, Matt Barnes na Thabo Sefolosha.
Wakili Alex Spiro Aliwai kupewa kazi na Jay Z ili amsaidie rapa 21 Savage asifukuzwe Marekani Baada ya kugundulika sio rai wa marekani.
Toa Maoni Yako Hapa