Tyga Ampa Heshima Mkongwe Wa Hip Hop Lil Wayne
RAPA Tyga ameachia nyimbo yake ‘Lightskin Lil Wayne’ siku ya Jumatatu July 8,2019 ndani ya ngoma hiyo amempa heshima kubwa Rapa mkongwe wa Hip Hop nchini Marekani Lil Wayne
Ndani ya iyo nyimbo ukisikiliza Tyga amechanganya mashairi ya Lil Wayne Kwenye video 3 ambazo Lil Wayne alizifanya miaka mingi iliyopita .
Toa Maoni Yako Hapa