Sambaza

Video Mpya: Tanasha Donna – Nah Easy

MTANGAZAJI na Mwanamuziki Kutoka Kenya mrembo Tanasha Donna baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Radio’ akimshirikisha Rapa kutoka kenya Braka Jacuzzi, sasa ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulika kwa jina ‘NAH EASY’ iliyotengenezwa na producer S2kizzy na video imeongozwa na muongozaji Ivan Odie.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey