Sambaza

Beyoce Kuja Na Album Mpya Kwenye Filamu Ya The Lion King

Image result for beyonce the lion king album

MWANAMUZIKI Beyoce ndio muandaaji wa album ambayo nyimbo zake zitatumika katita filamu mpya ya The Lion King ndani ya album hiyo kutakua na nyimbo za wasanii kutoka kila pande ya dunia na kuandikwa na wasanii wa Afrika kwa asilimia kubwa.

Image result for beyonce the lion king album

Beyonce ameshaipatia jina album iyo hitaitwa ”The Lion King Gift” na itaachiwa rasmi tarehe 19 Julai ,  Siku moja baada ya filamu yenyewe kutoka. Beyonce amefunguka kuwa album hiyo imetumia vionjo vya miziki mbalimbali ikiwemo R&B, pop, Hip hop na Afro Beat tayari ameachia wimbo wa kwanza unaoitwa ‘Spirit’ kutoka kwenye album hiyo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey