Sambaza

Burna Boy Kuja na ”African Giant” Mwaka Huu

Image result for burna boy

MWANAMUZIKI anaefanya vizuri  kutoka pande za Nigeria Burna Boy ametangaza ujio wa album yake mpya ya ”African Giant” ambayo itatoka rasmi tarehe 26 julai mwaka huu .

Kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka picha (Official cover ) ya album hiyo ambayo inakuja baada ya album yake ya mwisho ‘Outside’ ambayo ilitoka januali 26 2018

Burna Boy tayari ameachia nyimbo nne “On The Low”, “Dangote”, “Gbona” na “Anybody” Kutoka kwenye album hiyo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey