Sambaza

Taylor Swift aingia kwenye Rekodi za Forbes

Image result for taylor swift forbes 2019

JARIDA maarufu la Forbes limeripoti kuwa staa wa muziki kutoka marekani Taylor Swift ndiye mwanamuziki anayelipwa pesa nyingi zaidi duniani chini ya umri wa miaka 30 .

untitled-collage-2.jpg

Jarida la Forbes iliweka ripoti hiyo hadharani jumatano hii kuwa anaingiza $185 milioni, akifatiwa na mwanamitindo Kylie Jenner anayeingiza kiasi cha $170 milioni huku rapa Kanye West akishika namba tatu akitajwa kuingiza kiasi cha $150 milioni

Mhariri wa jarida Forbes zack o’malley greenburg amesema kuwa sehemu ya mapato ya Tylor Swift yametokana na maonyesho ya jukwaani.
Image result for forbes zack o'malley greenburg

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey