Sambaza

Kanye West aja na Mradi Mpya wa Kujenga Nyumba

Image result for kanye west star wars

MTANDAO wa HNHH umeripoti kuwa mwanamuziki rapa wa marekani Kanye West anamekuja na mradi wake mpya wa kujenga nyumba kwa ajili ya watu wenye kipato cha chini.

Image result for kanye west star wars houses

Kwa mujibu wa mtandao wa HNHH umesema kuwa rapa Kanye West  anaonekana aliilewa sana filamu ya Star Wars kwani Nyumba hizo zitakuwa kama zile za sayari ya Tatooine eneo ambalo alikulia muhusika Luke Skywalker. Kwa mujibu wa Forbes Kanye aliwaambia kuwa tayari yupo kwenye ujenzi wa nyumba hizo wakati wakizungumza naye kwenye mahojiano ambayo yapo kwenye toleo lao jipya, nyumba hizo zitakuwa zinapangishwa kwa wananchi wenye vipato vya chini nchini Marekani.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey