Sambaza

” Msiusemee Moyo wangu, Maisha yangu ” Vanessa Aomba

Moja kati ya Instagram Live session iliyotrend sana week hii ni ile alofanya Vanessa Mdee kupitia akaunti yake ya instagram, Vanessa aliamua kufanya live session hiyo ili kujibu masuala mbalimbali yaliyokuwa yakimhusisha yeye ikiwamo tetesi ya kumpokonya Muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ mchumba ake Majizzo.

‘Ishu’ nyingine aliyoitolea ufafanuzi na kuonyesha hisia zake kuwa hapendi kusikia watu wakiiongelea, ni suala la Utasa, mahusiano yake na Msanii Mwenzie Juma ‘Jux’ ambayo yamevunjika siku za hivi karibuni.

So mimi ningependa kusema kitu kimoja hususan kwa wale watu ambao wananitukana kupitia mitandao ya kijamii. Mimi ni mtu ambaye anajiheshimu na naheshimu kazi yangu naheshimu sanaa naheshimu brand yangu ambayo nimejenga kwa muda mrefu sana. Wale ambao wanaanza kunitusi mimi, ati mimi ni Malaya oh mimi ni tasa oh mimi nilikuwa nakataa kuolewa oh mimi nilikuwa namdharau Juma….

Vanessa aliongeza kusema kuwa anaomba watu wasiusemee Moyo wake, na wasiwe wasemaji wa maisha yake kwani hawajui vitu vingi kumhusu yeye.

Msinisemee…msiusemee moyo wangu, Msiusemee moyo wake! Msiusemee maisha yangu msiusemee maisha yake!

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey